- 199 viewsDuration: 2:59Tume ya Uwiano na utangamano nchini ncic imezindua mpango wa kuhakikisha kuwa uchaguzi mkuu uajo utakuwa wa amani. katika hafla hiyo, mkuu wa mawaziri musalia mudavadi na waziri wa usalama kipchumba murkomen wametoa hakikisho kiwa serikali itatoa ufadhili wa kutosha kuhakikisha kuwa uchaguzi mkuu ujao hautakuwa na dosari.