- 759 viewsDuration: 1:06Kinara wa chama cha PPK na Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro sasa ameitaka serikali kufadhili elimu kama ilivyokadiriwa kwenye bajeti. Nyoro amesema kuwa serikali bado haijatoa pesa za kutosha kwa shule kadhaa nchini huku wanafunzi wakirejea shuleni kwa muhula wa tatu. Nyoro aidha amekashifu Wizara ya Usalama kutokana na utovu wa usalama katika mikutano ya kisiasa.