Skip to main content
Skip to main content

Ndindi Nyoro aitaka Serikali kufichua wanahisa wa Dangote East Africa Refinery

  • | Citizen TV
    749 views
    Duration: 1:29
    Kinara wa chama Cha Peoples Party Ndindi Nyoro ameitaka Serikali kuweka wazi wanahisa wa kampuni ya Dangote East Africa Refinery, akidai Rais William Ruto, ni mshirika mkubwa wa kampuni hiyo.Akinadi chama chake huko Kieni kaunti ya Nyeri, Nyoro Anasema kimya cha Serikali kuhusu suala hilo ni ishara ya unafiki unaoendeshwa na Serikali inayofadhili maslahi ya kibinafsi, na kuwafaidi wachache.