- 1,724 viewsDuration: 1:10Kinara wa chama cha people's party na mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro amesema ni sharti viongozi wa upinzani waweke kando maslahi yao ya kibinafsi na kuungana ili kufanikisha kumng'atua mamlakani Rais Wiliam Ruto kwenye uchaguzi mkuu ujao.