6,885 views
Duration: 1:21
Sasa hebu fikiria hivi: Wewe ni mwanamke, umechumbiwa, unatazamia maisha ya baadaye ya kujenga familia na mpenzi wa maisha yako, mahari imelipwa kwa ajili yako, lakini mara tu baada ya kuoana, unagundua kwamba mume wako halisi alishafariki muda mrefu uliopita.
-
Na umeolewa na kaka yake marehemu ili kuendeleza ukoo wa aliyekufa.
-
Hiyo ndiyo hali inayowakumba baadhi ya wanawake kutoka jamii ya Wakurya katika mkoa wa Mara, kaskazini-magharibi mwa Tanzania, desturi ambayo bado inaendelezwa hadi leo.
-
Mwandishi wa BBC David Nkya alisafiri hadi mkoani humo ili kuchunguza zaidi.
-
-
-
#bbcswahili #tanzania #milanadesturi #famila #tamaduni
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw