Skip to main content
Skip to main content

Ndugu wa walioshtakiwa kwa uhaini wamuamgukia Rais Samia

  • | BBC Swahili
    61,327 views
    Duration: 2:06
    Kesi ya uhaini inayowakabili mamia ya vijana nchini Tanzania imeendelea kusikilizwa hii na tayari makundi kadhaa mapema hii leo mashauri yao yalitajwa na kuharishwa kwa sababu ya ulelezi kutokukamilika Kwenye mahakama ya hakimu mkazi kisutu jijini Dar es salaam watuhumiwa hawakufikishwa mahakamani kwa sababu za kiutawala na shauri liliendeshwa kwa njia ya mtandao Ndugu na jamaa walifurika mahakamani wameendelea kupaza sauti zao wakitaka ndugu zao kuachiliwa huru - - #bbcswahili #tanzania #Maandanano #uchaguzi2025