1 Apr 2026 1:47 pm | Citizen TV 5,141 views Duration: 2:15 Ngozi za punda zaidi ya elfu 3 zenye uzito wa tani 12 zimenaswa na maafisa wa polisi katika kizuizi cha kanyonyo zilikisafirishwa kwenda mombasa bila leseni.