Skip to main content
Skip to main content

Ni afueni kwa wakazi wa Voi Taita Taveta baada ya serikali ya kaunti kuzindua mradi wa maji

  • | Citizen TV
    494 views
    Duration: 2:50
    Ni afueni kwa wakazi zaidi ya elfu 14 eneo bunge la Voi kaunti ya Taita Taveta baada ya serikali ya kaunti kwa ushirikiano na mamlaka ya kukabiliana na ukame nchini NDMA kuanzisha rasmi mradi wa maji wa shilingi milioni 51. Mradi huo wa kilomita sita utasambaza maji kwa wakazi elfu 15 wa maeneo ya Ghazi,Ndome,Mraru na Tausa ambako hushuhudia kiangazi kila mara.