Skip to main content
Skip to main content

Ni sera zipi mpya zinazopigiwa debe na CHAUMMA?

  • | BBC Swahili
    2,446 views
    Duration: 1:00
    Chama cha CHAUMMA kimezindua rasmi kampeni zake tarehe 31 Agosti jijini Dar es Salaam, kikiwa miongoni mwa vyama 17 vitakavyoshiriki Uchaguzi Mkuu wa urais na wabunge, nchini Tanzania. Hapo awali chama hiki kilijipatia umaarufu kupitia sera yake ya chakula cha “Ubwabwa”. Hata hivyo, katika kampeni za mwaka huu chama hiki hakijaweka mkazo mkubwa kwenye sera hiyo. Swali linalojitokeza sasa ni: Ni sera zipi mpya zinazopigiwa debe na chama hicho? - - @bosha_nyanje #bbcswahili #uchaguzi2025 #chauma #siasa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw