- 7,833 viewsDuration: 2:50Siku ya tano tangu mfanyibiashara Jimmy Mutava Mwanzia kutekwa nyara, picha mpya za CCTV zinaonyesha msururu wa matukio na sura za watu waliokutana naye. Mmoja kati ya watu hao ni afisa wa ngazi ya juu katika kituo cha polisi cha Mlolongo. Ode Francis anatufunulia sura hizo na kuelezea hali ilivyokuwa kabla ,wakati na baada ya Jimmy Mutava Mwanzia kutekwa nyara.