- 13,041 viewsDuration: 2:44Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi amewasihi viongozi nchini kuwa waangalifu na kauli zao, akisisitiza kuangalia maneno yao watakayoyasema hasa pale kiongozi anapokosa jambo la msingi la kusema, ni vyema akanyamaza badala ya kutoa kauli zinazoweza kuumiza na kuchochea hisia za wananchi. Ameyazungumza hayo leo Jumatatu, Februari 2, 2026, katika maadhimisho ya siku ya sheria nchini Tanzania yanayofanyika jijini Dodoma. #foryou #viongozi #tanzaniatiktok Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw