- 652 viewsDuration: 2:40Tume ya Taifa ya Ardhi (NLC) imekutana na wadau kutoka kaunti za Kericho, Bomet na Narok kujadili rasimu mbili za kanuni zinazolenga kushughulikia dhuluma za kihistoria za ardhi na kupitia utoaji wa hatimiliki na ugawaji wa ardhi ya umma.