31 Dec 2025 2:31 pm | Citizen TV 154 views Duration: 1:43 Chama cha National Liberal Party, NLP, kimetoa wito kwa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini, IEBC, kujiimarisha kikamilifu kabla ya uchaguzi mkuu wa 2027 ili kurejesha Imani ya Wakenya kwa tume hiyo