22 Jul 2026 10:35 am | Citizen TV 134 views Duration: 2:31 Wanariadha wanawake wa timu ya Kenya wajiandaao kushiriki kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola mwaka huu,waongezewa ari baada ya kupokea msaada wa sodo kutoka baraza la kitaifa la kudhibiti Magonjwa Mseto, NSDCC.