Skip to main content
Skip to main content

Nthambi Kibwani: Mwanamke anayevunja dhana za wanaume katika upishi

  • | Citizen TV
    676 views
    Duration: 5:31
    Amejijengea biashara yake kupitia mitandao ya kijamii na kupata jina ambalo limemfungulia milango mbalimbali inayomkuza katika biashara yake ya upishi. Namzungumzia Nthambi kibwani, mwanamke ambaye amebobea katika upishi, shughuli ambao kwa muda mrefu Imekuwa Ikifanywa na wanaume. Kwenye makala ya mwanamke bomba wiki hii nthambi anatueleza safari yake na vipi ameweza kujiimarisha kila siku.