Skip to main content
Skip to main content

NTSA yataka ukaguzi wa kila mwaka kwa magari ya zaidi ya miaka minne

  • | Citizen TV
    1,750 views
    Duration: 3:43
    Kuanzia tarehe 1 Julai 2026, wamiliki wote wa magari ya zaidi yaliyozidi miaka minne kutoka siku ya utengenezaji watalazimika kupeleka magari yao yakaguliwe kila mwaka. hii ni kulingana na Kanuni Mpya za Ukaguzi wa Magari zilizotangazwa na Mamlaka ya usalama barabarani- NTSA. Mamlaka hiyo imetangaza kuwa zoezi hilo litaendeshwa katika vituo vya NTSA pekee na kuagiza wamiliki wa magari waanze kujiandikisha kupitia kwa jukwaa la kidigitali la eCitizen. Na kama anavyoarifu Serfine Achieng Ouma, wamiliki wa magari watahitajika kulipia ukaguzi, hali ambayo imewakera madereva