Skip to main content
Skip to main content

Nyota ya Lydia Waganda: Ameshinda ligi ya wanawake nchini mara sita

  • | Citizen TV
    346 views
    Duration: 2:56
    Timu ya wanawake ya Police Bullets ilinyakuwa ubingwa wake wa tatu mfululizo kwenye ligi kuu ya wanawake nchini. Ila kwa mchezaji lydia waganda hili limekuwa taji lake la sita kushinda kwenye ligi hiyo. Mwanaspoti wetu luqman mahmoud alikutana nae na kuandaa taarifa hii.