- 53,593 viewsDuration: 2:56Wenyeji wa kijiji cha Emenwa eneo la Nyamache kaunti ya Kisii wameelezea masikitiko yao kufuatia kubomolewa kwa nyumba ambayo iliaminika kuwa sura ya mamake Yesu; Maria. Eneo hilo leo likishuhudia utulivu, licha ya mamia kumiminika kwenye kijiji hicho kujionea kile walisema ni maajabu ya kiimani. Hata hivyo, Mmiliki wa nyumba hiyo Andrew Onsombi amesema alibomoa nyumba hiyo ili kutafuta utulivu baada ya kizaazaa alichosema hakikuwa cha kweli.