Skip to main content
Skip to main content

Obocchun Border FC yatwaa ubingwa wa mashindano ya Cheza Cheza

  • | Citizen TV
    175 views
    Duration: 1:00
    Obocchun Border FC iliibuka mabingwa wa mashindano yaliyoandaliwa na kampuni ya ubashiri ya Cheza Cheza baada ya kuilaza Amaase FC mabao 3-2 katika fainali iliyochezwa katika uwanja wa Shule ya Amongura kaunti ya Busia. Mbali na ushindani wa soka, mashindano hayo yalitumika kuhamasisha amani, usalama barabarani na mshikamano wa jamii. Katika hafla hiyo, Cheza Cheza iliwatunuku mashabiki jezi za soka, mipira pamoja na fulana za kuhamasisha usalama barabarani.