Skip to main content
Skip to main content

Obunga FC na Plateau Queens kutetea mataji ya Chapa Dimba

  • | Citizen TV
    464 views
    Duration: 59s
    Mabingwa watetezi wa Nyanza na kitaifa, Obunga FC na Plateau Queens, maarufu kama Nyakach Girls, watawania kutetea mataji yao katika fainali za ukanda wa Nyanza za Safaricom Chapa Dimba. Fainali hizo zinatarajiwa kuanza kutifua kivumbi mwishoni mwa wiki hii.