Skip to main content
Skip to main content

Oburu adai Raila hakumtaka Sifuna ODM

  • | Citizen TV
    20,863 views
    Duration: 3:16
    Kinara wa odm Dkt. Oburu Oginga sasa anasema aliyekuwa kiongozi wa chama cha odm raila odinga alitaka katibu mkuu wa ODM Edwin Sifuna kutimuliwa afisini kwa kukosa nidhamu chamani. Akizungumza kwenye mahojiano ya kipekee na runinga ya citizen Dkt. Oburu pia alitoa onyo kwa chama cha UDA akisema ODM ina marafiki wengine ikiwa itakosewa heshima na UDA.