- 15,026 viewsDuration: 3:34Kinara wa Chama cha ODM Dkt. Oburu Odinga amemtaka Rais William Ruto kuwaonya viongozi wakuu wa Chama cha UDA ambao anadai wameikosea heshima Chama cha ODM. Matamshi ya Oburu yanajiri huku mgogoro unaotokota baina ya vyama hivyo viwili ukitishia kusambaratisha “ndoa” yao. Katibu Mkuu wa Chama cha UDA Hassan Omar ameshutumiwa pakubwa kwa madai ya kuvuruga uhusiano huo.