Skip to main content
Skip to main content

Oburu atangaza nia ya kuwa mgombea mwenza wa Ruto

  • | Citizen TV
    5,143 views
    Duration: 1:00
    Kinara wa ODM Oburu Oginga sasa anasema ana hamu kubwa ya kuwa naibu wa Rais William Ruto kwenye uchaguzi mkuu ujao. Seneta huyo wa Siaya amesema anatosha kuwania wadhifa huo. Aidha, amesema kuwa ODM, ambayo sasa inaendelea kushirikiana na serikali, haitakuwa na mgombea wa urais kwenye uchaguzi huo wa mwakani.