Skip to main content
Skip to main content

Oburu: ODM iko imara, haitamezwa

  • | Citizen TV
    5,677 views
    Duration: 3:36
    Kinara wa chama cha ODM Oburu Oginga sasa anasema chama hicho hakitamezwa katika ushirikiano wake na chama cha UDA. Oburu akisisitiza kwamba chama hicho kitalinda ngome zake zote kwa utayari wa uchaguzi mkuu. Akizungumza katika kongamano la vijana wa ODM hapa Nairobi, Oburu alitishia kumshtaki kinara wa DCP Rigathi Gachagua kwa madai kwamba amekiuza chama cha ODM kwa rais William Ruto.