- 3,634 viewsDuration: 1:46OCS wa kituo cha polisi cha Lumakanda eneo bunge la Lugari Kaunti ya kakamega Wycliffe Kwendo atajua hatma yake hii leo iwapo ataachiliwa kwa dhamana au la, baada ya kushtakiwa kwa madai ya kumnajisi msichana mwenye umri wa miaka 14.