- 309 viewsDuration: 2:09Tume huru ya uchaguzi na mipaka pamoja na ofisi ya msajili wa vyama vya kisiasa yazindua majukwaa ya mafunzo ya maandalizi ya uchaguzi huko Machakos na Isiolo. Makongamano hayo yalenga kutoa mafunzo kwa maafisa wa vyama vya siasa, wawaniaji na makundi mengine yenye maslahi maalum kuhusu Sheria ya Vyama vya Siasa, Sheria ya Uchaguzi na sheria nyingine zinazohusiana na uchaguzi.