- 861 viewsDuration: 1:36Serikali imezindua kituo cha nne cha kisheria kama njia moja ya kuwezesha wafungwa kupata masomo ya kisheria na ujuzi wa kujitetea mahakamani pasipokuwa na Wakili. Kituo hiki kimefungulia Katika Jela ya Nakuru yenye wafungwa 1900, ambao wanahudumia vifungo tofauti. Katibu Katika Wizara ya magereza Salome Beacco amesema wako tayari kushirikiana na ofisi ya mwasheria Mkuu na kuongeza vituo hivi kote nchini.