- 427 viewsDuration: 2:40Askofu Mkuu wa Kanisa la Kianglikana nchini Jackson Ole Sapit anaitaka serikali kukaza kamba na kuzima magenge ya wahuni anayosema yanayumbisha usalama nchini. Askofu Ole Sapit akisema maneno ya mara kwa mara ya serikali kuahidi kuchukua hatua hayaonyeshi majibu yoyote, na sasa anataka swala hili la wahuni kuzimwa, miezi ya kuhesabu kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka ujao