Skip to main content
Skip to main content

Onyo la mamlaka ya kutathmini kuhitimu kwa taasisi za elimu

  • | Citizen TV
    196 views
    Duration: 1:11
    Mamlaka ya kitaifa ya kutathmini kuhitimu kwa taasisi za elimu,yatoa onyo kali kwa vyuo ambavyo hukiuka kanuni za usajili. Akizungumza hapa jijini Nairobi, afisa mkuu wa mamlaka hiyo daktari Alice Kande asema kuwa ni sharti taasisi za elimu zitimize vigezo vyote vya usajili ili vyeti vitakavyotolewa viwe halali na vikubalike kisheria.