Skip to main content
Skip to main content

Operesheni ya usalama yaanza Kisii na Transmara

  • | Citizen TV
    2,032 views
    Duration: 2:37
    Operesheni maalum ya maafisa wa usalama inaendelea katika mpaka wa Kisii na Transmara kufuatia mapigano yaliyosababisha vifo vya watu wawili. Mapigano hayo yamewaacha makumi ya watu na majeraha, huku pia yakiathiri ufunguzi wa zaidi ya shule kumi katika eneo la mpakani.