- 173 viewsDuration: 1:30Papa Mtakatifu Leo wa 14 amewataka wakatoliki na wakristo wote duniani kukumbatia upendo duniani kama ilivyodhihirishwa kupitia kuzaliwa kwa Yesu Kristo akiwarai wakristo kuwa na imani kutokana na matendo ya mungu kupitia mwana wake wa pekee