Skip to main content
Skip to main content

Paul Biya: Rais aliyeiongoza Cameroon kwa miaka 43 atafaulu kushinda awamu ya 8?

  • | BBC Swahili
    4,156 views
    Duration: 2:44
    Mgombea wa upinzani wa Cameroon, Issa Tchiroma, amedai kuwa ameshinda uchaguzi wa urais uliofanyika Oktoba 12, akimtaka Rais Paul Biya kukubali kushindwa na "kuheshimu ukweli wa sanduku la kura". Biya, mwenye umri wa miaka 92, ambaye ni kiongozi mwenye umri mkubwa zaidi duniani aliye madarakani, anawania muhula wa nane baada ya kuwa madarakani kwa miaka 43. Huku Matokeo rasmi bado yakisubiriwa kutangazwa, Je Biya atafurukuta? #bbcswahili #cameroon #paulbiya #uchaguzi2025 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw