- 1,518 viewsDuration: 1:00Mahakama Kuu ya Nyeri imemrejesha rumande Peter Njuguna, mshukiwa katika mauaji ya mtoto mwenye umri wa miaka 8, Shantel Waruguru, kwa siku 14 zaidi. Hatua hiyo ni kusubiri kusikilizwa na kuamuliwa kwa ombi lake la dhamana. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya