4 Sep 2026 1:25 pm | Citizen TV 1,143 views Duration: 1:35 Philip Okumu ameapishwa rasmi kuwa naibu chifu wa Matisi, Bungoma, baada ya uteuzi wake kukumbwa na utata kwa muda wa miezi kadhaa. Hatua hiyo imehitimisha mchakato wa uteuzi na kumwezesha Okumu kuanza rasmi majukumu yake.