- 919 viewsDuration: 1:30Huku shule nyingi zikifungua milango kwa muhula wa kwanza mwaka huu, wasafiri katika mji wa busia wamesikitikia kupanda kwa nauli pamoja na ukosefu wa magari ya abiria huku wasimamizi wa magari ya uchukuzi wakitetea hatua ya kupandisha nauli.