Skip to main content
Skip to main content

Polisi: Hakuna ukweli wa kontena la silaha

  • | BBC Swahili
    6,704 views
    Duration: 1:31
    Msemaji wa jeshi la polisi nchini Tanzania David Misime amekanusha kuwepo kwa kontena la silaha na kusema kuwa ni taarifa za uongo. ameyasema hayo wakati wa Mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Dodoma, na kusisitiza kwamba hakuna ukweli juu ya taarifa hizo. Misime ameonya pia juu ya baadhi ya watu ambao wamekuwa wakitumia vibaya mitando ya kijamii. Ufafanuzi wa Jeshi la Polisi unafuatia siku kadhaa za taarifa katika mitandao mbalimbali ya kijamii, kuhusu kukutwa kwa Kontena lenye silaha. - - #bbcswahili #siasa #mitandaoyakijamii Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw