18 Aug 2026 10:34 am | Citizen TV 305 views Duration: 1:45 Polisi katika Kaunti Ndogo ya Embu Magharibi wakamata na kuharibu lita 1,340 za pombe haramu katika eneo la Kawanjara, eneo bunge la Runyenjes, baada ya kupata taarifa kutoka kwa wananchi.