- 326 viewsDuration: 1:30Idara ya usalama katika kaunti ya Busia yafanikiwa kunasa magunia 22 ya bangi yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 35 pamoja na mihadarati aina ya methamphetamine yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 21 kwa kipindi cha mwezi mmoja uliopita.