9 Oct 2026 11:00 am | Citizen TV 1,188 views Duration: 1:23 Maafisa wa polisi Kaunti ya Kirinyaga wamevamia kiwanda cha kutengeneza pombe eneo la Karii,Kangai katika operesheni inayolenga kukabiliana na usambazaji wa pombe haramu