- 1,969 viewsDuration: 1:30Polisi katika Kaunti ya Kiambu wameanzisha msako dhidi ya mshukiwa anayetuhumiwa kuwaua wafanyakazi wenzake wawili na kumjeruhi vibaya mwingine katika eneo la Mugumo Drive Estate, mjini Kiambu. Mshukiwa huyo, aliyetambulika kama Moses Kigera, alitoroka baada ya kutekeleza shambulio hilo na sasa anatafutwa na maafisa wa upelelezi.