Skip to main content
Skip to main content

Polisi Kilgoris wawasaka majambazi baada ya mauaji ya mfanyabiashara

  • | Citizen TV
    2,768 views
    Duration: 3:11
    Maafisa wa polisi eneo la Kilgoris, Transmara, kaunti ya Narok, wanaendelea kuwasaka majambazi wanne, wawili kati yao walinaswa kwenye kamera za CCTV wakimshambulia na kumuua mfanyabiashara mmoja kabla ya kumuibia. Kanda ya CCTV inaonyesha matukio hayo, huku wakazi wakilalamikia kuongezeka kwa mashambulizi ya aina hii. Chrispine Otieno na mengi zaidi.