Skip to main content
Skip to main content

Polisi Kitale na Nakuru wachunguza visa viwili vya mauaji

  • | Citizen TV
    2,781 views
    Duration: 3:35
    Polisi mijini Kitale na Nakuru wanachunguza visa viwili tofauti vya mauaji, ambapo mjini Kitale mfanyabiashara mmoja aliuawa kwa kukatwa kwa panga na wezi ambao walitoroka na fedha za mahari. Na huko Nakuru, mwili wa mwanamke mmoja aliyeripotiwa kupotea wiki mbili zilizopita ulipatikana ukiwa umekatwakatwa .