- 126 viewsDuration: 1:49Wakazi wa Siakago chini ya mwavuli wa kikundi cha ulinzi shirikishi cha Good Neighbours, pamoja na maafisa wa Kituo cha Polisi cha Siakago, washiriki katika programu ya mazoezi ya mwili na ustawi wa afya iliyoandaliwa na National Policing Association, kwa lengo la kuimarisha afya ya akili na kuimarisha ushirikiano kati ya wananchi na vyombo vya usalama.