Skip to main content
Skip to main content

Polisi nakuru wanasa ethanol na pombe haramu

  • | Citizen TV
    593 views
    Duration: 3:13
    Watu wawili wamekamatwa huku lita 230 za kemikali aina ya ethanoli na lita ishirini za pombe aina ya chang’aa, kunaswa katika operesheni iliyofanyika jumapili jioni katika eneo la Murogi – Free Area na mwariki eneo bunge la Nakuru Mashariki. Waliokamatwa ni wagema wawili mama na mwanawe wa kiume, waliofumaniwa nyumbani kwao katika eneo la Murogi