Skip to main content
Skip to main content

Polisi waanza kuvalia sare mpya zilizozinduliwa na Ruto

  • | Citizen TV
    34,329 views
    Duration: 2:46
    Maafisa wa polisi wa kawaida wameanza kuvalia sare mpya zilizozinduliwa leo na Rais William Ruto. Sare hizo mpya za rangi ya samawati zinaambatana na kofia, huku maafisa wanawake wakitengewa sare rasmi watakazovaa wakati wa ujauzito au kunyonyesha. Kama anavyoarifu Brenda Wanga, Rais Ruto amesema sare hizo mpya zimetokana na mapendekezo yaliyotolewa na maafisa wa polisi.