Skip to main content
Skip to main content

Polisi waanzisha kampeni ya kupanda miti Kapsabet, Nandi

  • | Citizen TV
    176 views
    Duration: 2:00
    Maafisa wa Polisi katika Kaunti ya Nandi kwa ushirikiano na maafisa wa huduma ya misitu Kenya (KFS) waanzisha kampeni ya kupanda miti katika vituo mbalimbali vya polisi pamoja na maeneo ya misitu ya umma yaliyoharibiwa.