Skip to main content
Skip to main content

Polisi wachunguza mauaji ya afisa wa magereza

  • | Citizen TV
    10,191 views
    Duration: 2:19
    Maafisa wa polisi wanachunguza kisa cha mauaji ya afisa wa magereza anayedaiwa kuwawa na Mwalimu wa Shule ya Sekondari msingi. Inaarifiwa kuwa mshukiwa huyo wa mauaji alijitoa uhai mjini Eldama Ravine, Kaunti ya Baringo baada ya kutekeleza ukatili huo. Polisi wanasema mwili wa afisa huyo wa magereza ulipatikana ndani ya nyumba yake mjini Sotik, Kaunti ya Bomet.