Skip to main content
Skip to main content

Polisi wachunguza vifo vya kutisha Machakos

  • | Citizen TV
    6,531 views
    Duration: 2:35
    Maafisa wa polisi katika maeneo ya Kathiani na Matungulu wanafanya uchunguzi wa vifo tata vya wanawake wawili pamoja na viungo vya mwili vinavyoshukiwa kuwa vya mtoto. Maiti hizo zilipatikana kwenye kichaka baada ya wakazi kumuona mbwa akibeba kiungo cha mwili.