- 16,242 viewsDuration: 2:48Maafisa wa polisi eneo la Kasarani wameanzisha uchunguzi kubaini chanzo cha mwanamke mwenye umri wa miaka 25 kuanguka kutoka orofa ya sita ya jengo moja katika mtaa wa Thome na kujeruhiwa vibaya. Wakati huo huo, polisi eneo la Kilimani wanawazuilia washukiwa watatu wanaodaiwa kumsukuma mwanamke mwingine kutoka ghorofani na kumjeruhi. Franklin Wallah ana taarifa zaidi.