Skip to main content
Skip to main content

Polisi wafyatua risasi hewani kutawanya vijana Mombasa

  • | Citizen TV
    6,157 views
    Duration: 2:42
    Maafisa wa polisi walilazimika kufyatua risasi hewani ili kutawanya makundi mawili ya vijana waliokuwa wakizozana kuhusu madai ya unyakuzi wa timbo katika eneo la Oshwal, kaunti ya Mombasa. Vijana wanaopinga ujenzi kwenye ardhi hiyo wamedai eneo hilo limekuwa kitega uchumi chao kwa miaka mingi, na kwamba uwepo wao umesaidia kudumisha usalama dhidi ya magenge yaliyokuwa yakiwavamia wakazi.